Kenyan_gossip

Nairobi: Msichana wa Miaka 5 Afariki Baada ya Mjomba Kudaiwa Kumsukuma Kutoka Orofa ya 5

Msiba wa kuhuzunisha ulitokea katika eneo la Jacaranda Estate, Kahawa West, Nairobi, baada ya msichana wa miaka mitano Amanda kuuawa Mshukiwa mkuu, m...

Magazeti ya Kenya: Huenda DIG Eliud Lagat Akakamatwa Kufuatia Kifo cha Albert Ojwang

Mnamo Ijumaa, Juni 13, magazeti ya Kenya yaliangazia jinsi maandamano ya kupinga kifo cha mwanablogu na mwalimu Albert Ojwang katika eneo kuu la biash...

Tamara: Familia ya Msichana Aliyeuawa Nyeri, Yavunja Kimya Huku Mshukiwa Mkuu Akikiri Kumuua

Nicholas Julius Macharia, mshukiwa wa kuua na kuuficha mwili wa Tamara Blessing Kabura chini ya kitanda chake, alifikishwa mahakamani kufuatia mazishi...

Kiambu: Afueni Msichana Aliyetoweka Akipatikana Kibra Akiwa Amenyolewa Nywele

Msichana wa umri wa miaka 14, June Murugi Kimani, aliyetoweka nyumbani kwao Ruthiruini, kaunti ya Kiambu mnamo Juni 5 amepatikana Mwanafunzi huyo wa ...

Video: Ndege ya Air India Njiani Kuelekea London Yaanguka Baada ya Kupaa Ikiwa na Watu 242

Siku ya Alhamisi, Juni 12, Boeing 787-8 Dreamliner mali ya Air India ilianguka nje ya Uwanja wa Ndege wa Ahmedabad Uchunguzi wa awali ulionyesha kuwa...

Video Yaonyesha Dakika za Mwisho za Ndege Iliyoanguka Ikiwa na Watu 242

Video ya kutisha imenasa matukio ya mwisho ya ndege ya Air India iliyoanguka kwenye makazi ya watu na kuua watu wengi kati ya 242 waliokuwa ndani Nde...